Wagonjwa wa Ukimwi wahakikishiwa kuna dawa za kutosha

  • | KBC Video
    23 views

    Baraza la kitaifa la kudhibiti magonjwa ya kuambukiza limewahimiza wagonjwa wa Ukimwi kuepuka kujilimbikizia dawa. Kulingana na kaimu mkurugenzi mkuu wa baraza hilo Douglas Bosire, nchi ina dawa za kutosha za kupunguza makali ya ukimwi na hivyo basi hakuna haja ya kuwa hofu licha ya kupungua kwa msaada.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive