Wagonjwa wa Ukimwi wataathirika vipi baada ya Marekani kukata ufadhili?

  • | BBC Swahili
    670 views
    Bunge nchini Marekani linatarajiwa kujadili hatima ya hazina ya dharura ya rais inayoangazia masuala ya virusi vya HIV na Ukimwi (PEPFAR) ambayo muda wake unafikia kikomo mwishoni mwa mwezi huu wa Machi. Lakini PEPFAR imekuwa na umuhimu gani kwa wagonjwa wa Ukimwi Afrika?