Wagonjwa waliofanyika upasuaji watulizwa kwa nyimbo

  • | VOA Swahili
    71 views
    Huko Bordeaux, Ufaransa daktari mmoja wa upasuaji anawatuliza wagonjwa anaowafanyia upasuaji kwa kuwaimbia. “Siyo tu kuimba, si tamasha. Kwangu mimi, ni tiba,” #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.