Wagonjwa wataabika kwa kukosa huduma za matibabu

  • | Citizen TV
    495 views

    Mamia ya wagonjwa katika hopsitali ya rufaa ya Moi jijini Eldoret walikosa huduma hii leo kufuatia mgomo wa madaktari katika hospitali hiyo. Baadhi ya wagonjwa haswa walio kwenye wodi wakilalamika kukosa huduma huku wengine wakilazimika kutafuta huduma kwengineko.