Wagonjwa wazidi kuhangaika wakikosa huduma huku mgomo hospitali ya Moi Eldoret waingia siku ya 3

  • | Citizen TV
    176 views

    Kwa siku ya tatu Wauguzi 800 kutoka hospitali ya rufaa na mafunzo ya Moi jijini eldoret wameandamana jijini eldoret kulalamikia ukosefu wa bidhaa muhimu hospitalini na pesa zao.