Wagonjwa zaidi wameendelea kuhangaikia ugonjwa

  • | Citizen TV
    1,302 views

    Serikali sasa inasema ripoti ya uchunguzi wa ugonjwa usioeleweka katika eneo la South Mugirango imeonyesha kuwa wanaougua walikunywa maji yaliyochanganyika na kinyesi