Wahadhiri wa Chuo Kikuu Cha Moi waandamana kupinga utekelezaji wa bima ya SHA

  • | Citizen TV
    836 views

    Wahadhiri wa chuo kikuu cha Moi, pamoja na Madaktari wameandamana jijini eldoret hii leo. wahadhiri wanalalamikia malipo yao kucheleweshwa. hii ni licha ya muungano wa wahadhiri hapo jana kutia saini mkataba wa kurejea nyumbani kufuatia mkutano na wizara ya leba ambapo muungano wa wahadhiri -uasu- ulitangaza kusitishwa kwa mgomo. aidha madaktari chini ya chama cha kmpdu nao pia wameandamana wakipinga mpango wa Bima ya matibabu SHIF. Madaktari hao wanasema kuwa mpango huo utawakandamiza wananchi. wanaitaka serikali kuweka mikakati ya kutosha kabla ya kuanza kutekeleza bima hiyo.