Wahamiaji nane wamekufa Jumapili wakati boti yao iliyokuwa imejaa watu zaidi ya uwezo wake kuzama ikijaribu kuvuka bahari ya English Channel kutoka Ufaransa kuelekea Uingereza maafisa wa usalama wa Ufaransa wamesema. Ajali hii imetokea chini ya wiki mbili baada ya maafa mabaya zaidi kama hayo kutokea mwaka huu.
Tukio hilo baya linamaanisha idadi ya waliofariki kutaka kuelekea Uingereza kutoka Ufaransa imeongezeka kufikia wahamiaji 46 kutoka 12 waliofariki mwaka 2023, ambao wamepoteza maisha yao wakijaribu kuingia Uingereza kutoka Ufaransa, afisa wa jimbo amesema.
Serikali za Ufaransa na Uingereza zimepambana kwa miaka kadhaa kusitisha wimbi la wahamiaji ambao wanalipa wasafirishaji haramu maelfu ya Euro kila mtu kwa ajili ya kuvuka kwa boti zilizojaa watu kupita kiasi. Watu sita walionusurika wamelazwa hospitali akiwemo mtoto wa miezi 10 mwenye matatizo ya afya kutokana na baridi kali. - AFP
#wahamiaji #uingereza #englishchannel #bahari #ufaransa #ajali #boti #voa #voaswahili
21 Apr 2025
- As an at-times unwitting star on social media, Pope Francis knew how to exploit the internet to preach the gospel, broadening the Church's appeal while modernising its communications.
21 Apr 2025
- US Defense Secretary Pete Hegseth fought back Monday -- with White House support -- against another scandal over his reported use of Signal to discuss airstrikes on Yemen, this time with his wife, brother and lawyer.
21 Apr 2025
- President William Ruto will visit Beijing and meet with President Xi Jinping as reciprocal trade tariffs between America and Beijing deepen, and shockwaves in the aftermath of the tariffs rip through the global markets.
21 Apr 2025
- Some cardinals who are being talked about as "papabili" to succeed Pope Francis, whose death at the age of 88 was announced by the Vatican on Monday.