Wahariri nchini wataka polisi walioshambulia wanahabari kuchukuliwa hatua

  • | Citizen TV
    1,324 views

    Baraza la vyombo vya habari la kenya limeendelea kuelezea wasiwasi wake kuhusiana na mashambulizi dhidi ya wanahabari nchini. Baraza hili sasa likisema kuwa malalamishi 24 ya mashambulizi dhidi ya wanahabari yaliwasilishwa wakati wa maandamano dhidi ya serikali. Wakuu wa vyombo vya habari waliokutana mjini Naivasha sasa wakitaka uchunguzi dhidi ya maafisa waliohusika na dhuluma dhidi ya wanahabari kukamilishwa mara moja