Wahifadhi, wanasayansi na walinzi wahesabu wanyamapori Lewa

  • | Citizen TV
    1,151 views

    Wanyamapori Ni Mojawapo Ya Rasilimali Kubwa Ya Kenya Na Ambao Pia Huchangia Mapato Ya Taifa. Hata Hivyo, Wanyama Hao Wako Katika Hatari Ya Kutoweka Kutokana Na Ongezeko La Idadi Ya Watu Na Ushindani Wa Raslimali Zilizoko. Pia Uwindaji Haramu Unaathiri Baadhi Ya Wanyama Hao Katika Semehu Mbalimbali Nchini. Hata Hivyo, Sensa Ya Wanyamapori Imekuwa Zoezi Muhimu La Kufuatilia Idadi Ya Wanyama Hao Ili Kubuni Mikakati Ya Kuwalinda Na Kuwahifadhi. Mwandishi Wetu, Emily Chebet, Aliandamana Na Wataalamu Katika Hifadhi Ya Lewa Wakati Wa Zoezi La Kila Mwaka La Sensa Na Kutuandalia Taarifa Ifuatayo.