Wahudumu 114 Kisii na Migori wapewa mafunzo ya utalii

  • | Citizen TV
    65 views

    Wahudumu 114 kutoka sekta ya Utalii kaunti za Kisii na Migori wamefuzu kwa elimu ya utalii na kupewa vyeti maalum chini ya mpango wa ufadhili wa wahudumu katika sekta hiyo.