Wahudumu wa afya wapokea mafunzo ya kupunguza vifo

  • | KBC Video
    28 views

    Kuimarisha ujuzi wa maafsa wa matibabu ni muhimu katika kupunguza vifo vya akina mama wajawazito humu nchini na bara Afrika kwa jumla. Matabibu katika hospitali ya Ruai Family wanapata mafunzo ya wiki moja kuimarisha ujuzi wao Mafunzo hayo yakiongozwa na Joseph Williamson ambaye ni mshahuri wa huduma za matibabu nchini Afrika Kusini yanaangazia uchunguzi wa kina wa tumboni na maarifa kuhusu afya ya watoto, matibabu ya akina mama na magonjwa yasio ya kuambukizwa

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive