Wahudumu wa bodaboda Laikipia wapinga mswada

  • | Citizen TV
    132 views

    Wahudumu wa bodaboda katika eneo la Laikipia mashariki wamekashifu vikali baadhi ya sheria zilizopendekezwa na Seneti Boni Khalwale wakisema zinalenga kukandamiza biashara ya usafiri wa bodaboda