Wahudumu wa bodaboda wapewa mafunzo ya nidhamu Nandi

  • | Citizen TV
    179 views

    Maafisa wa trafiki, NTSA , Serikali ya kaunti ya Nandi pamoja na wadau wengine waliandaa hafla ya hamasisho kuhusu usalama barabarani kwa wahudumu wa bodaboda mjini Nandi Hills. Wahudumu hao walipata mafunzo mbalimbali ya kudumisha nidhamu pamoja na namna ya kuzingatia sheria za Barabarani. Kando na mafunzo,wahudumu hao pia walishiriki mbio za Nandi Bodaboda half marathon ili kuboresha afya kupitia kwa mazoezi ya mwili.