Wahudumu wa magari ya uchukuzi katika barabara ya Lamu-Garsen walalamika

  • | Citizen TV
    633 views

    Kutokana na kuimarika kwa usalama katika barabara ya Lamu-Garsen Wahudumu wa magari ya abiria yanayotoka lamu kuelekea mombasa wameitaka serekali kuwaruhusu kusafiri nyakati za usiku