Wahudumu walio chini ya mpango wa UHC wagoma

  • | Citizen TV
    216 views

    Wahudumu wa Afya wanaohudumu chini ya mpango wa UHC katika kaunti za Nakuru, Meru, Laikipia na Nyandarua wameendeleza mgomo wao wakishinikiza serikali iwape kandarasi za kudumu. Wahudumu hawa walianza kutoa malalamishi yao tangu mapema mwezi huu.