Serikali imeagiza msako wa mkali dhidi ya waendeshaji bodaboda wahalifu katika kaunti ya Kisii wanaotumiwa na wanasiasa. Akilaani vitendo hivyo waziri wa usalama wa taifa Kipchumba, aliyezungumza wakati wa kikao cha Jukwaa La Usalama mjini Kisii, pia alifichua mzozo wa umiliki wa ardhi kama chanzo cha mauaji ya wazee kwa kisingizio kuwa ni wachawi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive