Wahuni waibuka tena katika barabara kuu ya Maralal kuelekea Baragoi

  • | Citizen TV
    525 views

    Wakazi wa Kaunti ya Samburu wamelalamikia kuzorota Kwa usalama katika barabara kuu ya Maralal kuelekea Baragoi,wahuni wakiibuka Tena na kutatiza usalama wa wasafiri katika barabara hiyo. Katika uvamizi wa hivi punde, maafisa wa serikali ya Kaunti ya Samburu waliponea kwenye tundu la sindani katika uvamizi uliomuacha dereva akiuguza majeraha ya risasi.