Wahuni wawajeruhi maafisa wa kaunti kufuatia mzozo

  • | Citizen TV
    672 views

    Maafisa Wa Ulinzi Wa Kaunti Ya Kiambu Wanauguza Majeraha Baada Ya Kuvamiwa Na Wahuni Wanaodaiwa Kutumwa Na Mwanasiasa Mmoja Kuzuia Serkali Ya Kaunti Ya Kiambu Kudhibiti Usimamizi Wa Soko La Ngoliba, Thika. Mzozo Ulianza Siku Ya Alhamisi Baada Ya Serkali Kuu Kuzindua Rasmi Ujenzi Wa Soko Hilo. Kwa Sasa Serikali Ya Kaunti Ya Kiambu Imepata Ilani Ya Mahakama Kuzuia Ujenzi Wa Soko Hilo Hadi Mzozo Huo Usuluhishwe.