3 Nov 2025 10:29 am | Citizen TV 747 views Duration: 2:13 Wajane zaidi ya 300 kutoka eneo la Chemosot, eneo bunge la Bureti kaunti ya Kericho, waliandamana mitaani kupaza sauti dhidi ya dhuluma za kijinsia ambazo zimekithiri eneo hilo.