Wakaazi Eldoret wajitokeza kudai kulaghaiwa pesa za uwekezaji

  • | Citizen TV
    381 views

    Kwa mara nyingine tena, taarifa za ulaghai zimegubika jiji jipya la Eldoret ambapo sakata mpya ya uwekezaji wa sarafu imeibuka. Waathiriwa wa punde wakidai kulaghaiwa maelfu ya pesa na kampuni inayoongozwa na askofu wa kidini