Wakaazi sasa watishia kuifunga hospitali ya Kimalel, Baringo

  • | Citizen TV
    378 views

    Wakazi wa eneo la Kimalel kaunti ya Baringo wametoa makataa ya wiki mbili kwa serikali ya kaunti kuimarisha hali ya hospitali ya umma ya Kimalel la sivyo wataifunga. Haya yanajiri baada ya huduma katika hospitali hiyo kuzorota kutokana na ukosefu wa vifaa muhimu. Hata hivyo, gavana Benjamin Cheboi amesema kuwa yuko kwenye mchakato wa kutafuta ufadhili ili kuimarisha hadhi ya hospitali hiyo.