Wakaazi wa Alara Nyambija wapata afueni ya huduma za maji

  • | Citizen TV
    36 views

    Wakazi wa Alara Nyambija katika kaunti ndogo ya Awendo ambao wanatembea mwendo mrefu kutafuta maji kwenye vyanzo vya maji machafu kama mito sasa wanaafueni baada ya kupata maji safi kupitia mradi uliofadhiliwa na kanisa katoliki.