Wakaazi wa Busia wadai serikali kuu imepuuza eneo hilo

  • | Citizen TV
    654 views

    Siku chache tu baada ya Rais William Ruto kuwateua makatibu wapya kuhudumu kwenye nyadhifa mbali mbali serikalini, wafuasi wa chama cha ODM katika kaunti ya Busia wamejitokeza kulalamikia kuwachwa nje kwenye uteuzi huo.