Wakaazi wa eneo bunge la Garsen waandamana wakidai kunyanyaswa na maafisa wa KWS

  • | Citizen TV
    639 views

    Wakaazi wa maeneo ya Asa na Kone katika eneo bunge la Garsen, Kaunti ya Tana River wameandamana wakidai kunyanyaswa na maafisa wa shirika la huduma kwa wanyama pori nchini KWS.