Wakaazi wa Flamingo waendelea kuandamana kujua aliko

  • | Citizen TV
    1,069 views

    Mtu mmoja anauguza majeraha baada ya kupigwa risasi jana jioni, wakati wa maandamano katika kaunti ya Nakuru. Mwanaume huyo alikuwa miongoni wa wakazi ambao pia hii leo walitatiza shuguli za kawaida katika mitaa ya kivumbini, Flamingo wakilalamikia kupotea kwa mvuvi mmoja mikononi mwa maafisa wa shirika la huduma kwa wanyama pori