Wakaazi wa Kajiado waandamana kuhusu ugavi wa ardhi yao

  • | Citizen TV
    434 views

    Sehemu Kubwa Ya Ardhi Katika Kaunti Ya Kajiado Imekuwa Ikimilikiwa Na Jamii Kwa Muda Mrefu. Lakini Baada Ya Mpangilio Na Sheria Ya Kaunti Kupitishwa, Mashamba Haya Yamekuwa Yakigawiwa Wanachama Huku Ranchi Za Makundi Zikifanywa Kuwa Ardhi Ya Jamii. Hata Hivyo, Baadhi Ya Wakazi Wa Torosei Huko Kajiado Magharibi Wanapinga Ugavi Wa Ardhi Ya Jamii Yao.