Wakaazi wa Kata ya Gazi, Kwale waitaka serikali kutuma chifu eneo hilo

  • | TV 47
    7 views

    Wakaazi wa Kata ya Gazi, Kwale waitaka serikali kutuma chifu eneo hilo.

    Walalamikia ukosefu wa chifu kwa muda wa miaka 8 tangu kujengwa kwa ofisi ya serikali.

    Wanadai kukosa huduma muhimu za serikali kutokana na ukosefu wa chifu wa eneo hilo.

    Wapinga kujumuishwa katika lokesheni ya Kinondo wakisema eneo hilo liko mbali na Gazi.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __