Wakaazi wa Kata ya Sasur wametakiwa kuwasilisha kwenye vituo vya polisi

  • | Citizen TV
    101 views

    Wakaazi wa Kata ya Sasur eneo bunge la Mlima Elgon kaunti ya Bungoma wanaomiliki silaha haramu wametakiwa kuziwasilisha kwa hiari katika vituo vya polisi la sivyo wakabiliwe na kisheria