Wakaazi wa Kericho wanaokabiliwa na msongo wa mawazo washauriwa kutafuta matibabu

  • | Citizen TV
    171 views

    Huku Dunia Ikiadhimisha Siku Ya Afya Ya Akili Baadhi Ya Madaktari Kutoka Kaunti Ya Kericho Wametoa Wito Kwa Wakazi Wenye Matatizo Ya Akili Kufika Kwenye Vituo Vya Afya Ili Kupata Matibabu.