Wakaazi wa kijiji cha Kawalasee kaunti ya Turkana walalamikia bei duni ya mawe na kokoto

  • | Citizen TV
    338 views

    Wakaazi wa kijiji cha Kawalasee kaunti ya Turkana wanaomiliki ardhi yenye mawe na kokoto, wamejitokeza kulalamikia bei duni ya mawe na kokoto zinazonunuliwa kwao na wafanyibiashara.