Wakaazi wa Laikipia wailaumu serikali ya kaunti kwa kushindwa kukabili janga la moto

  • | Citizen TV
    554 views

    Serikali ya Kaunti ya Laikipia imezomewa vikali na wakaazi wa mji wa Nyahururu kwa kushindwa kukabiliana na majanga na hasa ya moto.