Wakaazi wa Lamu walalamikia kucheleweshwa kwa kesi inayohusu ujenzi wa mradi wa kaa

  • | Citizen TV
    85 views

    Wakaazi kutoka kaunti ya Lamu wakiungana na washikadau mbali mbali wanalalamikia kucheleweshwa Kwa kesi inayohusu ujenzi wa mradi wa Kaa katika kaunti hiyo.