Wakaazi wa Magarini washauriwa dhidi ya kuuza mashamba

  • | Citizen TV
    382 views

    Wakaazi wa Magarini kaunti ya Kilifi wamehimizwa kuacha kuuza mashamba yao baada ya kupata hati miliki. Kampeni imeandaliwa ya kuwaelimisha kuhusu kutafuta mwongozo kutoka kwa afisi husika za kaunti na ile ya kitaifa ili kubaini thamani ya mashamba yao.