Wakaazi wa mpaka wa Meru na Isiolo walalamikia kuhangaishwa na maafisa wa KDF

  • | Citizen TV
    430 views

    Wakazi wa maeneo ya Kiwanja, Atan, Gambela, Artillery, Chumvi Yere, na Kisima kwenye mpaka wa Meru na Isiolo wanalalamikia kuhangaishwa na maafisa wa KDF kwenye mzozo unaoendelea wa ardhi.