Wakaazi wa Murang'a wamtaka rais Ruto kumteua Waiguru kwa wadhifa wa naibu rais

  • | Citizen TV
    874 views

    Wakaazi wa Murang'a wanamtaka rais william ruto kumteua gavana wa Kirinyaga Ann Waiguru kwa wadhifa wa naibu wa rais iwapo hoja ya kumng'atua Naibu rais rigathi gachagua itatimia.