Wakaazi wa Sagama, Nyatike wadai fidia baada ya mashamba yao kuharibiwa

  • | Citizen TV
    369 views

    Familia kutoka eneo la Sagama huko Nyatike ambazo ziliwasilisha kesi nane kwenye jopo la kutatua mizozo ya ardhi zikitaka fidia kutoka kwa Mamlaka ya Kitaifa ya Unyunyizaji maji kw amadai kuwa mashamba yao yameharibiwa zitajua hatma yao katika mwezi mmoja ujao.