Wakaazi wa Samburu watakiwa kuzalisha chakula ili kuepuka njaa

  • | Citizen TV
    268 views

    Wafugaji katika kaunti ya Samburu wametakiwa kuandaa mashamba yao na kurejea shambani Kwa upanzi ili kujihakikishia utoshelevu wa chakula. Hii ni baada ya kusambaziwa mbegu na serikali ya kaunti hiyo ambayo inawahimiza kuzalisha chakula kwa wingi ili kujikinga dhidi ya njaa wakati wa kiangazi