Wakaazi wa Tana River pamoja na viongozi wa jamii wamtaka mkurugenzi mkuu wa KWS kujiuzulu

  • | Citizen TV
    216 views

    Wakazi wa Tana river pamoja na Viongozi wa jamii kaunti hiyo wamemtaka mkurugenzi mkuu wa shirika la huduma kwa wanyama pori nchini KWS kujiuzulu.