Wakaazi wa Vango, Tana River wapewa msaada wa chakula

  • | Citizen TV
    224 views

    Baada Ya Runinga Ya Citizen Kuangazia Masaibu Ya Wakazi Wa Kijiji Cha Vango Katika Kaunti Ya Tana River Kwa Kukosa Futari Mwezi Huu Mtukufu Wa Ramadan Kutokana Na Kiangazi Kirefu Na Umaskini, Wasamaria Wema Kutoka Miskiti Wa Amco Parkland Na Kinamama Waislamu Kutoka Nairobi Wametoa Msaada Wa Chakula Cha Kukidhi Zaidi Ya Familia 235.