Wakaazi waandamana kufuatia mauaji ya Richard Otieno eneo la Molo

  • | Citizen TV
    7,395 views

    Taharuki ilitanda leo eneo la Elburgon, Molo kaunti ya Nakuru baada ya wakaazi kuandamana wakidai haki kufuatia mauaji ya mwanaharati Richard Otieno jumamosi usiku. Wakazi wenye ghadhabu walichukua mwili wa mwanaharakati huyo kutoka hifadhi ya maiti na kuupeleka hadi kiituo cha polisi kabla ya kuanza safari kuelekea nao hadi nyumbani kwa mbunge wao Kuria Kimani. Na kama Gatete Njoroge anavyoarifu, polisi wanasema wameanzisha uchuguzi