Wakaazi waanza kukarabati barabara bovu Samburu

  • | Citizen TV
    311 views

    Siku Chache Baada Ya Runinga Ya Citizen Kuangazia Masaibu Ya Wahudumu Wa Bodaboda Na Madereva Mjini Maralal Waliolalamikia Kuharibika Kwa Barabara Za Mji Huo,Wananchi Wameridhia Kujitolea Kuziba Mashimo Hayo Kwa Mawe Ili Kurahisisha Usafiri. Mwanahabari Wetu Bonface Barasa Anaarifu Zaidi Kutoka Samburu.