Wakaazi walalamikia matatizo ya ardhi eneo la Mt. Elgon

  • | Citizen TV
    225 views

    Huku Swala La Ardhi Likizidi Kuibua Hisia Mseto Miongoni Mwa Wakaazi Wa Kopsiro Eneo Bunge La Mlima Elgon Kaunti Ya Bungoma, Serikali Imetakiwa Kuweka Uwazi Wakati Wa Ugavi Wa Ardhi Ili Kupunguza Uhasama Ambao Unaonekana Kutokota Kila Kuchao.