Wakaazi wamekuwa wakitakiwa kusuluhisha kesi nje

  • | Citizen TV
    121 views

    Wakazi wa Ng'ari katika Kaunti ya Samburu, wamelalamikia kero ya kuvamiwa na ndovu ambao wameendelea kuharibu mimea kwenye mashamba mengi eneo hili