Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi washikilia barabara baada ya mauaji ya msahara wa mifugo katika eneo la Narok

  • | KTN News
    2,512 views
    Duration: 3:11
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Hali ya taharuki imetanda eneo la Njoro, Kaunti ya Nakuru, kufuatia mauaji ya mtu mmoja aliyedungwa mshale na wezi wa mifugo usiku wa kuamkia leo. Wakazi wenye hasira walifanya maandamano na kufunga barabara ya Njoro kuelekea Mau-Narok wakilalamikia kudorora kwa hali ya usalama eneo hilo. Wakati uo huo, maafisa wa polisi wamefurusha makundi ya vijana na baadhi ya wakazi katika shamba lenye utata la Ngongongeri, waathiriwa wakishtumu maafisa hao kwa madai ya kukaidi amri ya mahakama. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews