Wakaazi wateketeza shule, nyumba na klabu kufuatia mauaji ya afisa wa jeshi Kipkelion

  • | Citizen TV
    5,447 views

    Hali Ya Taharuki Imetanda Eneo La Mutaragon, Kipkelion Kaunti Ya Kericho Baada Ya Wakazi Wenye Ghadhabu Kuteketeza Shule Na Nyumba Kadhaa Kufuatia Mauaji Ya Afisa Wa Jeshi Jumamosi Usiku. Marehemu Ezekiel Bett Alifariki Baada Ya Kuzozana Na Mhudumu Wa Eneo Mmoja La Burudani Anayedaiwa Kutumia Kifaa Butu Kumgonga Kichwani. Washukiwa Wawili Wanazuiliwa Na Polisi Kufuatia Kisa Hicho Kama Anavyotuarifu Gatete Njoroge