Wakazi Kajiado walalamikia maafa na uharibifu wa mashamba unaosababishwa na wanyamapori

  • | KBC Video
    1 views

    Baadhi ya wakazi wa kaunti ya Kajiado inayopatikana na mbugha ya kitaifa ya Nairobi wamekerwa na ongezeko la visa vya wanyama pori kuvamia binadamu pamoja na kucheleweshwa kwa fidia kutoka kwa serikali. Wakazi hao wamesema kwamba kwa miaka kadhaa watu wameuawa na wanyama pori ambao pia wameharibu mimea.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive