Wakazi wa Baringo wataka Rais amzingatie Gideo Moi katika baraza lake la mawaziri

  • | NTV Video
    67 views

    Baadhi ya wakazi wa Baringo wameelezea masikitiko yao baada ya kaunti hiyo kukosa nafasi katika baraza la mawaziri lililoundwa upya na rais Ruto. Sasa wanamtaka rais william ruto amzingatie Gideon Moi katika baraza lake la mawaziri.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya