Wakazi wa Bomachoge wapata huduma za matibabu bila malipo

  • | KBC Video
    42 views

    Wakazi wa eneobunge la Bomachoge Chache kaunti ya Kisii wamenufaika kutokana na kambi ya matibabu bila malipo. Wakazi hao walipokea huduma mbali mbali zikiwemo kupimwa na kupata ushauri nasaha.Waandalizi wa kambi hiyo ya matibabu walitoa wito kwa serikali kuu na zile za kaunti kutenga fedha zaidi za kufanikisha utoaji huduma za matibabu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive