Wakazi wa Butere na Mumias wapitia changamoto kufuatia ukosefu wa daraja

  • | Citizen TV
    224 views

    Huku mitihani ya shule ukiendelea kote nchini, wanafunzi na wakaazi wa eneo bunge la Butere na Mumias Mashariki mtawalia wanapitia changamoto si haba kufutia ukosefu wa daraja kuwavukisha mto Lusumu kwenda shuleni ambapo wanafunzi hulazimika kutumia mfano wa boti hatari.